Maelezo ya picha, Mapema wiki hii makumi kadhaa ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere walikamatwa na polisi walipokuwa wakiandamana kuomba kupunguzwa kwa karo ya shule Wanafunzi nchini Uganda ...
Baada ya wiki mbili ya mgomo wa wahadhiri katika Chuo Kikuu cha Makerere kwa sababu ya kutolipwa fidia zao kwa miezi 8, Jumanne Novemba 1 vurugu zilizuka katika Chuo Kikuu hiki chenye wanafunzi karibu ...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda wako katika mgomo kwa zaidi ya wiki moja wakipinga hatua ya serikali ya kuongeza ada ya masomo. Jana polisi ilitawanya mkutano wao mkuu. Wanafunzi ...
Wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda wamevamia kituo cha polisi, kudai kuachiliwa huru kwa wenzao 15 waliokamatwa walipokuwa wakiandamana dhidi ya kuongezeka kwa karo ya masomo ...
Msemaji wa jeshi la Uganda amethibitisha kushikiliwa mjini Kampala makamu wa chansela wa chuo kikuu cha Victoria,Lawrence Muganga kwa tuhuma za ujasusi. Msemaji wa jeshi la Uganda Brigedia Flavia ...
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda leo wamefanya fujo kupinga ongezeko la malipo ya mitihani. Wanafunzi hao walichoma magari, kupora maduka na kufanya ghasia zingine. Kituo kimoja cha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results