Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile pamoja na wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wametajwa kuwa katika ...
Papa Francis amekosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki", akisema Mungu anawapenda watoto wake wote jinsi walivyo na kuwataka maaskofu wa Kikatoliki wanaounga mkono sheria ...
(Nairobi) – Kukana kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kuhusu matamko ya chuki dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yaliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni hatua nzuri, lakini haitakuwa na ...
Wanaume sita wamekamatwa nchini Uganda kwa kujihusisha na 'mapenzi yajinsia moja', msemaji wa polisi ameliambia shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa, siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni ...
Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na ...
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye katika mkutano na waandish wa Habari, amesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo wanapaswa kupigwa mawe, kitendo ambacho amesema hakitakuwa ...