Bazara la mawaziri katika maamuzi yake limekubali kutekelezwa kwa mapendekezo ya azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Africa mshariki, yalioidhinisha matumizi ya lugha ya kiswahili kutumika kanda ...
Iwapo wapo sokoni, barabarani hata katika maeneo ya usafiri wa umaa wakaazi wanatumia kiswahili cha Lushi yaani cha jiji la Lubumbashi ambacho ni mchanga'nyiko wa maneno ya kiswahili na kifaransa.
Ingawa tunatumia mtandao kila siku, sehemu kubwa ya yaliyomo humo bado haionekani wazi wala haifikiki kirahisi. Hii si kwa sababu ya kanuni za kiufundi (algorithms) pekee, bali pia kwa sababu ya lugha ...
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results