Wagiriki wa kale walishindana kwenye michezo ya Olimpiki wakiwa uchi wa mnyama bila nguo, na hilo halikuwa linamsumbua mtu yeyote, ilikuwa kawaida tu. Kwa sasa hakuna hata anayetamani kurejea kwenye ...
Jarida la Playboy linapanga kuacha kuchapisha picha za wanawake wakiwa uchi wa mnyama. Wamiliki wa jarida hilo wanasema mtandao umeharibu soko la picha za wanawake wakiwa uchi, na imekuwa vigumu kuuza ...