Wanaowanyanyasa watoto kingono wanatumia akili ya bandia/Akili mnemba (AI) kuunda picha za watu mashuhuri wakiwa watoto. Wakfu wa Internet Watch (IWF) ulisema kwamba picha za mwimbaji mashuhuri wa ...
Katika shule iliyoko mkoani Kherson, kusini mwa Ukraine, eneo lililokaliwa na Urusi, baadhi ya watoto wanasimama kimya huku wenzao wakiwa wamevalia sare za kijeshi za rangi ya mchanga na kofia za ...
Iwapo unafanya kazi, unahitaji mja wa kumtunza mtoto wako. Maana ya malezi hayo ni,mja anamshughulikia mtoto wako. Kuna njia mbalimbali za malezi kupitia Kituo cha kulea watoto wachanga, vikundi vya ...
Shirika lisilo la kiserikali la Human Rights Watch (HRW) limeshutumu, Jumatatu, Machi 13, madhara "mabaya" ya uvamizi wa Urusi kwa watoto yatima chini Ukraine na watoto wa kambo, ambao "maelfu" yao ...
Unyanyasaji dhidi ya watoto wakati wa mizozo umefikia "kiwango cha kukithiri" mwaka 2023, hasa huko Gaza na Sudani, kulingana na ripoti ya Umoja wa Mataifa, ambayo inaorodhesha majeshi ya Israel na ...
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio linalotoa wito wa kurejeshwa mara moja kwa watoto wa Ukraine waliopelekwa nchini Urusi. Serikali ya Ukraine inasema watoto zaidi ya 19,000 ...
Serikali ya Burundi imeilaumu Tanzania kwa kutozuia usafirishaji na utumikishwaji wa watoto kutoka Burundi wanaoingia Tanzania kwa ajili ya kazi za utumishi majumbani na mashambani. Manung'uniko hayo ...
Huku hali ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Ujerumani ikizidi kuwa mbaya na mjadala kuhusu chanjo ukiendelea kupamba moto, swali jingine tete ni je watoto wadogo wanapaswa kuchanjwa? DW ...