Akiongea kwenye kituo cha LCI, Rachida Dati ameshutumu "utaratibu uliogubikwa na matukio" na kumhusisha mwendesha mashtaka wa fedha wa Ufaransa. Matamshi haya haraka yamezua hisia kutoka kwa mamlaka ...
Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa Rachida Dati ameelezea ziara yake katika eneo linalozozaniwa na lisilo la uhuru la Sahara Magharibi siku ya Jumatatu, Februari 17, kama "ya kihistoria," akisema ...