News

Mbunge wa Njombe Mjini (CCM), Deodatus Mwanyika. Mbunge wa Njombe Mjini (CCM), Deodatus Mwanyika amesema kutokana na Mji wa Njombe kukua kwa kasi, uhitaji wa ardhi ni mkubwa na hivyo kuomba serikali ...
Juma lililopita ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi zilieleza kuwa rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila alirejea nchini ...
Shambulio la kombora la Urusi katika mji wa Sumy wa Ukraine siku ya Jumapili linatajwa kuwa baya zaidi dhidi ya raia wa nchi ...
Takriban watu 32 wameuawa na 84 kujeruhiwa, wakiwemo watoto 10, baada ya shambulio la Urusi katikati mwa mji wa Sumy, ...
KUNDI la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda, limekashifu vikosi vya SADC vinavyohudumu katika eneo la Kivu Kaskazini, ...
Mashariki mwa DRC, utulivu umerejea tangu Jumamosi, Aprili 12, katika mji mkuu wa Kivu Kaskazini baada mapigano kuripotiwa ...
nchini DRC inafuatilia kwa karibu hali hiyo inayozidi kuwa mbaya. Katika eneo la Kalehe, jimbo la Kivu Kusini, mapigano makali kati ya makundi yenye silaha yamesababisha maelfu ya watu kukimbia tangu ...
Kwingineko katika mji wa Meknes, Morocco, Pyramids ya Misri imefanikiwa kusonga mbele licha ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wenyeji wao, FAR Rabat. Mabao ya Youssef Alfahli na Joel Beya ...
Iringa. Serikali imeeleza kutoridhishwa na baadhi ya wamachinga kurejea katikati ya mji wa Iringa kinyume na maelekezo ya awali kwamba, waende kwenye maeneo rasmi yaliyotengwa kwa ajili yao. Kauli ...
Mti mkubwa wa mcheri, unaoaminika kuwa na umri wa miaka 1,000, umechanua kwa ukamilifu katika mji wa Maniwa, mkoani Okayama magharibi mwa Japani. Mti huo wa mcheri wa Daigo-zakura una urefu wa ...
Tamasha la maua ya micheri lilifanyika jana Ijumaa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 katika mji wa kaskazini-mashariki mwa Japani karibu na eneo la janga la nyuklia la Fukushima mwaka wa 2011.
Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imebatilisha ... wakiwemo raia wa Uingereza, Ubelgiji, na Canada, waliohukumiwa katika kesi hiyo watapunguziwa adhabu zao. Jaribio la mapinduzi ...